Mkoa wa Tokat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Tokat
Maeneo ya Mkoa wa Tokat nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 9959 (km²)
Idadi ya Wakazi 869422 (makadirio 2006) TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 60
Kodi ya eneo: 0356
Tovuti ya Gavana http://www.tokat.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/tokat


Tokat ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unapakana karibu kabisa na mikoa ya jirani kama vile Amasya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Yozgat upande wa kusini-magharibi, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini-mashariki. Mji mkuu wake ni Tokat, ambao umelalia katika kwenye eneo la Kanda ya Bahari Nyeusi, takriban kilomita 422 kutoka mjini Ankara.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Tokat umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tokat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.