Mkoa wa Zonguldak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zonguldak
Mkoa wa Zonguldak
Maeneo ya Mkoa wa Zonguldak nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 3.481 (km²)
Idadi ya Wakazi 558,645 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 67
Kodi ya eneo: 0354
Tovuti ya Gavana http://www.zonguldak.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/zonguldak


Zonguldak ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa pwani ya kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 3.481 na idadi ya wakazi takriban 558,645. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Duzce kwa upande wa kusini-magharibi, Bolu kwa upande kusini, Karabük kwa upande wa kusini-mashariki, na Bartın kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Zonguldak.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Zonguldak umegawnyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Zonguldak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.