Mkoa wa Tunceli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Tunceli
Maeneo ya Mkoa wa Tunceli nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 7,774 (km²)
Idadi ya Wakazi 76,401 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 62
Kodi ya eneo: 0392
Tovuti ya Gavana http://www.tunceli.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/tunceli


Tunceli (Kizazaki: Dêrsım) ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Mkoa ulipewa jina la Dersim hadi mnamo 1936 (Dersim maana yake 'mlango wa fedha' kwa Kizazaki), na kuna baadhi wanaita jina lilelile la zamani. Wakazi wengi wa hapa ni Wazaza. Mikoa inayopaka na mkoa huu ni pamoja na Erzincan kwa upande kaskazini-magharibi, Elazığ kwa upande wa kusini, na Bingöl kwa upande wa mashariki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,774 na jumla ya wakazi takriban 76,401.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Tunceli umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tunceli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.