Tunceli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Tunceli

Tunceli (Kizazaki na Kikurdi: Dersim) ni jina la kutaja mji mkuu wa Mkoa wa Tunceli huko nchini Uturuki. Mji wa Tunceli una wakazi takriban 25,041 (sensa ya mwaka 2000) na idadi kubwa ya wakazi wa mjini hapa san-sana ni Wazaza na Wakurdi].


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunceli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.