Kırşehir
Jump to navigation
Jump to search
Kırşehir, zamani uliitwa Macissus (pia iliandikwa Mocissus na Mokissus) na Justinianopolis, ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kırşehir. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji umekadiriwa kuwa na wakazi wapatao 115,078 ambao wengine 88,105 wanaishi katikati ya mji wa Kırşehir.[1][2] Mji upo mita 1,027 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Maelezo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
- ↑ GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Falling Rain Genomics, Inc. Geographical information on Krehir, Turkey. Iliwekwa mnamo 2008-03-18.
This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, ed. (1913). Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company. web link
- District governor's official website (Kiingereza)
Vungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- District governor's official website (Kituruki)
- District municipality's official website (Kituruki)
- Kirsehir Portal Archived Oktoba 1, 2008 at the Wayback Machine. (Kituruki)
|
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |