Balıkesir
Mandhari
Balıkesir | |
---|---|
Eneo katika Uturuki | |
Maelezo | |
Eneo : | 14,456 km² (Mkoa) |
Idadi ya watu: | 1,076,347(Mkoa) |
215,436 (City) | |
Urefu : | m 70 |
Saa za eneo : | UTC+2 |
Tovuti : | Balikesir Municipality Ilihifadhiwa 5 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine. |
Kodi ya Posta : | 10xxx |
Kodi za Eneo : | 0266 |
Ngazi ya Utawala | |
Nchi : | Uturuki 10 |
Meya | Sabri Uğur |
Gavana | Selahattin Hatipoğlu |
Balıkesir ni mji uliopo katika mkoa wa Marmara katika nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 649,623 waishio katika mji huo. Ni kituo kikubwa cha kusafirishi bidhaa zao kwa nchi za nje. Ni kituo mashuhuri kwa watalii wenyeji na wageni, ambao wanaotumia hapo kwa kupelelezea nchi za zipakanazo na mji huo. Sana kwa uzuri wake wa kuwa na Mlima wa Ida (Kaz Dağı). Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Balıkesir.
Karibu kidogo na Balıkesir kulikuwa na mji wa Roma wa Hadrianutherae, uligundulika kwa jina la commemorates, na Dola la Hadrian. Wakati wa umiliki wa Ufalme wa Byzanti mji ulikuwa ukijuilkana kwa jina la Palaeokastron (Kigiriki: Palaeologus castle).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Balıkesir Municipality Web Page
- Balıkesir Government Web Page
- Balıkesir University Web Page
- Balıkesir Avukatları Ilihifadhiwa 29 Septemba 2022 kwenye Wayback Machine.
- Lots of pictures of the city of Balıkesir
- the most beautiful state of Balıkesir Ilihifadhiwa 17 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Balıkesir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |