Gümüşhane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gümüşhane
Gümşhane, Uturuki.

Gümüşhane ni jina la kutaja mji mkuu wa Jimbo la Gümüşhane katika maeneo ya Bahari Nyeusi huko nchnii Uturuki. Mji umelaliana na Ziwa Harşit, kwenye mapolomoko yenye takriban futi 5,000 (1,500 m). Takriban maili 40 kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Trabzon.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 46,656 ambao wengine 30,270 wanaishi katikati ya mji wa Gümüşhane.[1][2] Mji una eneo la kilomita za mraba zipatazo 1789,[3] na mapolomoko 1227 m.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina linamaana ya "jumba la fedha" kwa Kituruki na linatokana na migodi ya fedha iliyokaribu nayo. Wakati wa zama za Byzantine eneo waliokuwa wakilimiliki lilikuwa likiitwa Chaldia. Baada ya Ufufuko wa Wagiriki mnamo miaka ya 1850, mji ulikuwa ukiitwa Argyròpolis kwa Kigiriki (mji wa fedha), kwa mali zilizopo mjini hapo.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Watu mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units (English). Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
  3. Statoids. Statistical information on districts of Turkey (English). Iliwekwa mnamo 2008-12-01.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gümüşhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.