Bitlis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bitlis

Bitlis (Kikurdi: Bilîs au Bedlîs kwa Kirmenia: Baghaghesh, baadaye waliita Baghesh) ni mji ulipo Mashariki ya nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bitlis. Kwa wingi wa watu Wakurdi wanaonekana kuwa na idadi kuwa ya watu, ambayo ilikuwa 65,169 (ikijumlisha na vijiji vilivyouzunguka mji huo) sensa ya mwaka wa 2000.

Jina la kiasili linaelezea jina la Bitlis, bila ya kuwa na historia ya misingi ya wali ya jina, ni kwamba linatokana na neno "Bedlis", ambalo ni jina la kamanda aliyemuriwa ajenge ngome ya Bitlis na Alexander Mkuut, ambaye ni Mfalme wa Macedonia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bitlis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.