Düzce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Düzce

Düzce ni mji mkubwa wa Jimbo la Düzce katika nchi ya Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 156,326 waishio katika mji huo. Düzce ni mji wa themanini na moja ni ndiyo jimbo la mwisho la Uturuki ambalo lipo karibu na Mji mkuu kati ya Ankara na Istanbul. Mji uliathiriwa vibaya sana na tetemeko la ardhi lililotokea mnamo tar. 17 Agosti na 12 Novemba katika mwaka wa 1999.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Düzce kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.