Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kocaeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kocaeli)
Mkoa wa Kocaeli
Maeneo ya Mkoa wa Kocaeli nchini Uturuki
Maelezo
Kanda:Kanda ya Marmara
Eneo:3,626 (km²)
Idadi ya Wakazi1,359,438 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:41
Kodi ya eneo:0262
Tovuti ya Gavanahttp://www.kocaeli.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/kocaeli

Kocaeli ni mkoa wa Uturuki. Mji wake mkuu ni İzmit, ambao pia huitwa kama jina la mkoa wenyewe la Kocaeli. Mji mkubwa mkoanio hapa kwa sasa ni Gebze. Kodi ya trafiki katika jimbo hili ni 41. Mkoa upo mwishoni kabisa mwa mashariki mwa Bahari ya Marmara, hasa katika eneo la Pwani ya İzmit. Kwa kufuatia kuwa na hali ya hewa nzuri iliyopo katika Pwani ya İzmit, mji una bandari asilia kubwa sana.

Miji ya mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]
NafasiJijiSensa ya 1990Sensa ya 2000Sensa ya 2007Makadirio ya 2008
1Gebze159.116253.487310.815319.738
2İzmit190.741195.699248.424255.956
3Derince66.14193.997113.991116.806
4Darıca53.55985.818109.580112.975
5Körfez63.19481.93897.53599.859
6Gölcük65.60055.79071.53873.788
7Çayırova7.80024.82536.74138.709
8Karamürsel24.46229.35336.46637.172
9Dilovası18.59028.89035.85636.851
10Değirmendere19.53022.08629.90631.023
11Alikahya4.07416.30023.19224.182
12Hereke13.87214.55318.87719.495
13Yuvacık7.33812.10118.49119.404
14Köseköy9.20015.63917.49217.757
15Kandıra10.42712.64115.47315.770
16Uzunçiftlik7.26113.30214.89315.342
17Kullar8.82017.10513.73013.248
18İhsaniye9.18615.00012.83913.054
19Bahçecik8.6489.56312.23212.613
20Kuruçeşme7.7439.49011.78512.113
21Arslanbey3.4394.42110.57311.452

Idadi ya wakazi wa Kocaeli mnamo mwaka 2000

[hariri | hariri chanzo]
Manispaaidadi ya wakazi Manispaaidadi ya wakazi Manispaaidadi ya wakazi Manispaaidadi ya wakazi Manispaaidadi ya wakazi
İzmit199.023 Gebze253.487 Derince93.997 Darıca85.818 Körfez81.938
Gölcük80.843 Karamürsel31.475 Dilovasi28.809 Çayırova22.964 Değirmendere22.086
Kullar17.104 Alikahya16.591 Hereke16.189 Köseköy15.639 Uzunçiftlik13.032
Kandıra12.641 Yuvacık12.101 İhsaniye11.607 Bahçecik9.563 Kuruçeşme9.490
Arslanbey7.091 Suadiye6.908 Maşukiye6.438 Şekerpınar6.309 Yeniköy5.797
Karşıyaka4.893 Tavşancıl4.845 Uzuntarla4.660 Halıdere4.218 Büyükderbent4.203

Wilaya za Kocaeli

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Kocaeli limegawanyika katika wilaya 7 (miji mikuu imewekewa kukooza):

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]