Mkoa wa Düzce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Düzce
Maeneo ya Mkoa wa Düzce nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 3,641 (km²)
Idadi ya Wakazi 329,321 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 81
Kodi ya eneo: 0380
Tovuti ya Gavana http://www.duzce.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/duzce


Düzce ni mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi na unakwenda moja kwa moja hadi kuja kukutana na mji wa Istanbul na Ankara. Mji mkuu wake ni Düzce. Kuna baadhi ya sehemu zilizoharibiwa na Wagiriki wa Kale.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Düzce umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Düzce kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.