Mkoa wa Sivas
Mandhari
Mkoa wa Sivas | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sivas nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 28,488 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 810,989 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 58 |
Kodi ya eneo: | 0368 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sivas.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sivas |
Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Yozgat kwa upande wa magharibi, Kayseri kwa upande wa kusini-magharibi, Kahramanmaraş kwa upande wa kusini, Malatya kwa upande wa kusini-mashariki, Erzincan kwa upande wa mashariki, Giresun kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Sivas.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Sivas umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Sivaslılar Vakfı - Everything about Sivas and Sivas Culture
- Bizim Sivas - Sivas' Biggest Local Newspaper Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
- The Football Team of Sivas City - Sivasspor - supporters meet here Ilihifadhiwa 23 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Sivas Kültürü - Cultural Informations about Sivas city Ilihifadhiwa 29 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sivas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |