Mkoa wa Kastamonu
Mandhari
Mkoa wa Kastamonu | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kastamonu nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 13,108 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 322,759 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 37 |
Kodi ya eneo: | 0366 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kastamonu.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kastamonu |
Kastamonu ni mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika Kanda ya Bahari Nyeusi , kaskazini mwa nchi. Umezungukwa na Sinop upande wa mashariki, Bartın na Karabük upande wa magharibi, Çankırı upande wa kusini, Çorum upande wa kusini-mashariki na Bahari Nyeusi upande wa kaskazini.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Kastamonu umegawanyika katika wilaya 20 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Kastamonu culture & travel guide Ilihifadhiwa 13 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- Pictures of the capital of this province - with link to a Kasaba gallery
- Kastamonu Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 7 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Kastamonu Travel & Tourism Information
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kastamonu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |