Nenda kwa yaliyomo

Hanönü

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Hanönü,Kastamonu

Hanönü ni mji (na wilaya) uliopo Mkoani Kastamonu kwenye kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hanönü kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.