Mkoa wa Bursa
Mandhari
Mkoa wa Bursa | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bursa nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 11,043 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 3.000.021 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 16 |
Kodi ya eneo: | 0224 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bursa.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bursa |
Bursa ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye kanda ya Bahari ya Marmara. Mikoa inayopakana na hapa ni pamoja na Balıkesir kwa upande wa magharibi, Kütahya kwa kupande wa kusini, Bilecik na Sakarya kwa upande wa mashariki, Kocaeli kwa upande wa kaskazini-mashariki na Yalova kwa upande wa kaskazini. Mkoa una eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,043 na jumla ya wakazi wapatao 2,413,971 wanaoishi mkoani hapa (makadirio ya 2006).
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Bursa umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Büyükorhan
- Gemlik
- Gürsu
- Harmancık
- İnegöl
- İznik
- Karacabey
- Keles
- Kestel
- Mudanya
- Mustafakemalpaşa
- Nilüfer
- Orhaneli
- Orhangazi
- Osmangazi
- Yenişehir
- Yıldırım
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Pictures of the capital of this province
- (Kiingereza) Bursa Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 30 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) Bursa city sport portal, Bursa
- (Kituruki) Gokoz Village, Bursa Ilihifadhiwa 2 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) Golyaka Village - orhangazi pictures and information, Bursa Ilihifadhiwa 16 Juni 2021 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Bursa travel & tourism
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |