Mkoa wa Uşak
Mandhari
Mkoa wa Uşak | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Uşak nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 5,341 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 334,115 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 64 |
Kodi ya eneo: | 0{{{kodi_ya_eneo}}} |
Tovuti ya Gavana | http://www.usak.gov.tr/ |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/uşak |
Uşak (kutoka Uşşak maanake "wapenzi") ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Manisa kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini, Afyon kwa upande wa mashariki, ana Kütahya kwa upande wa kaskazini. Mji wake mkuu ni Uşak. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,341 na una idadi ya wakazi wapatao 334,115 (makisio ya 2007). Kwa mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 322,313.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Uşak umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- News from Uşak province and 6 districts Archived 2 Machi 2019 at the Wayback Machine.