Mkoa wa Eskişehir
Mandhari

| Maeneo ya Mkoa wa Eskişehir nchini Uturuki | |
|---|---|
| Maelezo | |
| Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
| Eneo: | 13,652 (km²) |
| Idadi ya Wakazi | 741,739 (2008) TUIK 2007 (est) |
| Kodi ya Leseni: | 26 |
| Kodi ya eneo: | 0222 |
| Tovuti ya Gavana | http://www.eskişehir.gov.tr |
| Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/eskişehir |
Eskişehir (inatafsiriwa kama: mji wa kale) ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopatikana na mkoa huu ni pamoja na Bilecik kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kütahya kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kusini-magharibi, Konya kwa upande wa kusini, Ankara kwa upande wa mashariki, na Bolu kwa upande kaskazini. Mji mkuu wake ni Eskişehir.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Eskişehir umegawanyika katika wilaya 14:
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Anadolu University in Eskişehir Ilihifadhiwa 25 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Eskişehir Osmangazi University Ilihifadhiwa 22 Novemba 2010 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Eskişehir Weather Forecast Ilihifadhiwa 7 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Eskişehir Valiliği
- Eskişehir Büyükşehir Belediyesi
- Eskişehir Emniyet Müdürlüğü
- Eskişehir Barosu
- Eskişehir Organize Sanayi Bölgesi
- 9. Bölge Eskişehir Eczacı Odası
- MMO Eskişehir Şubesi Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- Eskişehir Gezilecek Yerler Ilihifadhiwa 5 Machi 2021 kwenye Wayback Machine.
- Eskişehir İl Özel İdaresi Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Eskişehir Büyükşehir Belediyesi Senfoni Orkestrası Information
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Eskişehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |


