Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Mandhari
Kanda ya Anatolia ya Mashariki' (Kituruki: Doğu Anadolu Bölgesi) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi.
Mikoa
[hariri | hariri chanzo]- Mkoa wa Ağrı
- Mkoa wa Ardahan
- Mkoa wa Bingöl
- Mkoa wa Bitlis
- Mkoa wa Elazığ
- Mkoa wa Erzincan
- Mkoa wa Erzurum
- Mkoa wa Hakkari
- Mkoa wa Iğdır
- Mkoa wa Kars
- Mkoa wa Malatya
- Mkoa wa Muş
- Mkoa wa Tunceli
- Mkoa wa Van
- Mkoa wa Sivas
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kanda ya Anatolia ya Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |