Mkoa wa Bingöl
Mandhari
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bingöl nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 8,125 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 245,243 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 12 |
Kodi ya eneo: | 0426 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bingöl.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bingöl |

Mkoa wa Bingöl ni mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Mkoa ulianzishwa mnamo mwaka wa 1946 ukiwa nje ya sehemu ya Elazığ na Erzincan. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Tunceli (Dersim), Erzurum, Muş, Diyarbakır, Erzincan na Elazığ. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,125 na una wakazi wapatao 245,243. Idadi kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi. Lugha kuu za mkoani hapa ni Kituruki na Kikurdi. Mji mkuu wake ni Bingöl.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoawa Bingöl umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Bingöl News Paper Ilihifadhiwa 5 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Bingöl and Solhan Web Site Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Bingöl Web Site
- (Kiingereza) Bingöl Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Bingöl News Paper Ilihifadhiwa 5 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bingöl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |