Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Istanbul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Istanbul
Maeneo ya Mkoa wa Istanbul nchini Uturuki
Maelezo
Kanda:Kanda ya Marmara
Eneo:5,196 (km²)
Idadi ya Wakazi12.697.164 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:34
Kodi ya eneo:0212 upande wa Ulaya; 0216 upande wa Asia
Tovuti ya Gavanahttp://www.istanbul.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/istanbul

Mkoa wa Istanbul ni moja kati ya Mikoa ya Uturuki. Upo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,196 na jumla ya wakazi takriban 12,573,836 (makadiro ya 2007). Awali idadi ya wakazi kuwa 10,018,735 kunako mwaka wa 2000. Mkoa huu umezungukwa na mikoa mingine kama vile Tekirdağ kwa upande wa magharibi, Mkoa wa Kocaeli kwa upande wa mashariki, Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini na Bahari ya Marmara kwa upande wa kusini mwa nchi. Mkoa huu una sehemu mbili: una upande wa Ulaya na upande ni Asia. Mji mkuu wake ni jiji la Istanbul ambalo linajulikana sana kuliko hata mkoa wenyewe.

Miji ya Istanbul

[hariri | hariri chanzo]
UkubwaMjiSensa ya 1990Sensa ya 2000Sensa ya 2007Makadrio ya 2008
1Istanbul8.629.43110.803.46812,573,83612.697.164
2Sultanbeyli82.298175.700272.758283.962
3Esenyurt70.280148.981253.084263.837
4Beylikdüzü2.50039.884112.131122.452
5Samandıra22.88867.438112.653117.933
6Sarıgazi22.12548.46676.85580.911
7Çekmeköy13.52337.50270.68375.423
8Kıraç2.23928.81063.29368.219
9Arnavutköy21.14345.55762.49264.911
10Silivri26.04944.53062.24764.376
11Yakuplu2.84131.67651.86254.746
12Yenidoğan1.20028.44749.59352.614
13Gürpınar10.19131.06845.68247.770
14Büyükçekmece22.39435.86044.28745.575
15Taşdelen9.74728.21639.77441.425
16Mimarsinan7.69025.82839.24441.156
17Tepecik12.24018.79833.19235.248
18Çatalca11.55015.77927.80728.763
19Bahçeşehir2.50019.01825.11625.987
20Boğazköy4.49515.85022.41023.347
21Kumburgaz7.11810.35220.88322.387
22Alemdağ6.68415.27721.29222.151
23Hadımköy6.48614.27819.73320.512
24Çavuşbaşı4.69315.75319.53920.080
25Taşoluk2.52720.00013.06813.688
26Selimpaşa8.4019.15111.95512.356
27Orhanlı2.7356.04811.31411.819
28Bolluca2.4097.32010.87511.373
29Haraççı2.6718.52010.26610.713
30Bahçeköy4.0726.1079.84710.381

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Istanbul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.