Nenda kwa yaliyomo

Kadıköy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Meli mbili huko Kadıköy na stesheni ya treni ya Haydarpaşa kwa nyuma.

Kadıköy ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Istanbul kwenye Kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.

Katika historia ya Kanisa ni maarufu kama Kalsedonia (Chalcedon): huko ulifanyika Mtaguso Mkuu wa mwaka 451 (Mtaguso wa Kalsedonia).

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kadıköy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.