Nenda kwa yaliyomo

Yalova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watalii wakiwa kwenye Maporomoko ya Maji ya Sudüşen, karibu na Termal, Yalova.

Yalova ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari ya Marmara. Ndio mji mkuu wa Mkoa wa Yalova. Mji wa Yalova una wakazi takriban 70,858, wakati idadi ya wakazi wa Mkoa wa Yalova imekadiriwa kuwa ni 188,440.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yalova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.