Denizli
Denizli ni mji uliopo mwishoni mwa mashariki ya mto Büyük Menderes, ambapo kuna maporomoko ya mita zaidi ya mia, katika kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki, kwenye Mkoa wa Aegean.
Mji una wakazi wapatao 400,000 (kwa sensa ya 2006) na ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Denizli katika Majimbo ya Uturuki. Huu ni mji unaokua sana katika sekta ya viwanda.
Mji wa Denizli umepata mafanikio makubwa sana kiuchumi hasa kwa shughuli zake za utengenezaji wa nguo na kuzusafirisha nchi za nje[1].
Mji huu umekuwa kituo kikubwa cha uzalishaji wa bidhaa zinazotazamiwa kupelekwa nchi za nje, Denizli hutajwa mara kwa mara, ukiwa sambamba na miji mingine ya Uturuki, ikiwa kama miji yenye kupiga hatu kubwa sana kimaendeleo[2].
Jina
[hariri | hariri chanzo]Jina la Denizli linamaana ya "maeneo yenye bahari au ziwa" kwa Kituruki, lakini mji wenyewe haupo katika pwani. Jina linatokana na tahajia kadha wa kadha ambazo zina vyanzo vya maji yanayopita chini kwa chini na kuelekea katika eneo la mkoa wa karibu ya ziwa lililopo karibu na mji huko Uturuki.[3]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Watu mashuhuri
[hariri | hariri chanzo]- Ahmet Nazif Zorlu - Mfanyabiashara
- Sezen Aksu - Mwimbaji wa Pop
- Bayram Şit - Mwanamiereka aliyepokea nishani ya Olimpiki
- Cem Bahtiyar - Mpiga basi-gitaa wa kundi la muziki wa rock la maNga
- Hasan Güngör - Mwanamiereka aliyepokea nishani ya Olympic
- Nezih Altın - Mwnafizikia mashuhuri (kwa sasa anaishi mjini Adıyaman)
- Özay Gönlüm - Mwimbaji nyimbo za asili (1940-2000)
- Rıza Esendemir DJ bora wa redio FM ya Istanbul
- Sarp - Mwimbaji wa rock
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bernard Fingleton, Ayda Eraydın, Raffaele Paci, Bilge Armatlı Köroğlu, Burak Beyhan p. 229 (2003). Regional Economic Growth, SMEs and the Wider Europe ISBN 0-7546-3613-5, Chapter 11: The changing role of SMEs in the regional growth process: The case of Denizli. Ashgate Publishing.
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ Hüseyin Özgür, Pamukkale University. "Integration of a Local Economy to the Global and European Markets through Export–Led Growth and Specialized Textile Products Export: Home Textile Production in Denizli – Turkey" (PDF). University of Lodz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-06-30. Iliwekwa mnamo 2007-04-18.
- ↑ An alternative theory holds that the name was Domuzlu (the place of boars) due to the boar in the mountains around the town, and was changed as Muslims found the name offensive.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Denizli Government Web Site
- Denizli Telephone Address, Business Guide Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Denizli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |