Karabük

Karabük ni mji uliopo katika eneo la Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Karabük. Kwa mujibu sensa ilifanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika jiji hili ni 116,804 ambao wengine 100,749 wanaishi katikati ya mji huu wa Karabük.[1][2] Mji unachukua kilomita za mraba zipatazo 760[3].
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-11-20.
- ↑ GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units (English). Iliwekwa mnamo 2008-11-20.
- ↑ Statoids. Statistical information on districts of Turkey (English). Iliwekwa mnamo 2008-11-20.
- Falling Rain Genomics, Inc. Geographical information on Karabük, Turkey (English). Iliwekwa mnamo 2008-11-19.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- District governor's official web site (Kituruki)
- Kardemir official web site (Kiingereza)
- Karabük guide and news Archived 16 Novemba 2019 at the Wayback Machine. (Kituruki)
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karabük kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |