Nenda kwa yaliyomo

Burdur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Burdur

Burdur (zamani ulikuwa ukiitwa Buldur), ni mji ulipo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mjii mkuu wa Mkoa wa Burdur katika Uturuki. Mji upo katika pwani ya Ziwa Burdur. Mji unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 67,097 kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.[1]

  1. "World Gazetteer - Information about Burdur". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-08. Iliwekwa mnamo 2008-11-01..

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Burdur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.