Kipindi cha Kiangazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Watu wakiwa Ufukweni mwa Bahari, wakati wa kipindi cha kiangazi kwa mira na desturi za Kiwestern.

Kipindi cha Kiangazi ni moja kati ya misimu minne inayotokea duniani nje ya kanda la tropiki. Ni kipindi cha joto kali na ukavu kati ya misimu hiyo minne ya mwaka. Misimu hii minne inapatikana katika sehemu isiyo na joto sana wala baridi sana.

Kipindi cha Kiangazi hutokea upande wa Kaskazini na Kusini mwa Dunia kwa tofauti ya saa ya mwaka ya Nusudunia ya Kaskazini, Kiangazi uchukua nafasi katika mwezi Juni na Septemba, na Nusudunia ya Kusini uchukua nafasi kati ya mwezi Desemba na Machi. Hii utokana na Nusudunia ya Kaskazini, au sehemu ya Nusudunia, huelekea usawa wa Jua, na Nusudunia ya Kusini yenyewe hutoweka.


Bubujiko     Baridi
  Misimu  
   
   Kiangazi           Demani