Nenda kwa yaliyomo

Shimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shimo barabarani

Shimo (wingi: mashimo) ni uwazi au nafasi tupu, mara nyingi wa mviringo, katika gimba manga uliotokea au uliochimbwa ardhini kwa makusudi mbalimbali

Mara nyingi hutumiwa kwa kuhifadhi mazingira.

Kuna aina nyingi za mashimo.

  • shimo inaweza kutokea kama hitilafu ambako halitakiwi kuwepo, mfano shimo kwenye jino, barabarani, kwenye sufuria
  • shimo inaweza kutengenezwa kwa muda mfano shimo kwenye ardhi kwa kupanda mti humo, kuunda msingi mle, kwenye mtambo au jengo kwa kusudi la kuweka hapa skrubu
  • wakati mwingine neno "shimo" latumiwa kutaja kitu kisicholingana na ufafanuzi wa shimo mwenyewe, mfano "shimo jeusi" katika astronomia
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.