Maria wa Purisima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria wa Purisima (jina la awaliː María Isabel Salvat Romero; Madrid, Hispania, 20 Februari 1926 - Sevilia, Hispania 31 Oktoba 1998) alikuwa sista aliyeongoza shirika la Masista wa Msalaba ambalo lilianzishwa na Anjela wa Msalaba ndani ya Kanisa Katoliki ili kuhudumia fukara na wagonjwa waliosahaulika kabisa[1].

Alijulikana kwa kutetea mafundisho ya Mapapa.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Septemba 2010 na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Oktoba 2015.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Biography. Madre aria de la Purisima. Iliwekwa mnamo 20 October 2015.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.