Yosefu Sebastiani Pelczar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi ya mwaka 1920 hivi.

Yosefu Sebastiani Pelczar (17 Januari 184228 Machi 1924) alikuwa askofu wa Przemyśl (leo nchini Polandi) kuanzia mwaka 1900 hadi kifo chake.[1]

Pamoja na kuwa mwalimu maarufu wa maisha ya Kiroho, alisaidia watu kwa kila namna na kuanzisha shirika la Wajakazi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu[2].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 2 Juni 1991 halafu mtakatifu tarehe 18 Mei 2003.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.