Lukresia wa Merida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lukresia wa Merida (alifariki Merida, Hispania, karne ya 4) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.