Genoveva Torres Morales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaburi la Mt. Genoveva Torres Morales.

Genoveva Torres Morales (Almenara, 3 Januari 1870 - Zaragoza, 5 Januari 1956) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Mabinti wa Moyo Mtakatifu wa Yesu na Malaika watakatifu. Alitaka shirika hilo jipya lizingatie utunzaji wa wanawake wote. Wakati wa maisha yake na baada ya kifo chake, alitajwa kama "Malaika wa Upweke". [1]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri mnamo 1995 na mtakatifu mnamo 2003. [2]

Sikukuu yake huadhimiushwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Genoveva Torres Morales (1870-1956)
  2. Saint Genoveva Torres Morales. Saints SQPN (18 April 2015). Iliwekwa mnamo 5 July 2015.
  3. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.