Nenda kwa yaliyomo

Lonjino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika Basilika la Mt. Petro, Vatikano, kazi ya Bernini.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Yesu
Yesu Kristo na Ukristo

Umwilisho  • Utoto wa Yesu  • Ubatizo
Arusi ya Kana • Utume wa Yesu • Mifano ya Yesu  • Miujiza ya Yesu
Kugeuka sura • Karamu ya mwisho • Msalaba wa Yesu  • Maneno saba
Kifo cha Yesu  • Ufufuko wa Yesu
Kupaa mbinguni  • Ujio wa pili
Injili  • Majina ya Yesu katika Agano Jipya  • Yesu kadiri ya historia  • Tarehe za maisha ya Yesu • Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi • Kiaramu • Bikira Maria • Yosefu (mume wa Maria) • Familia takatifu • Ukoo wa Yesu • Ndugu wa Yesu • Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya · Mitazamo ya Kikristo • Mitazamo ya Kiyahudi • Mitazamo ya Kiislamu • Yesu katika sanaa

Lonjino (kwa Kilatini Longinus[1]) ni jina linalotumika[2] kwa askari aliyemchoma kwa mkuki Yesu akiwa maiti msalabani kadiri ya Injili ya Yohane 19:34-37[3].

Ingawa Biblia haina habari zaidi juu yake, inasadikika kwamba baadaye akawa Mkristo[4] na pengine hata kwamba akamfia.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 16 Oktoba (Kanisa Katoliki[5], Waorthodoksi na Anglikana), lakini pia tarehe 22 Oktoba au 14 Novemba (Waorthodoksi wa Mashariki) na tarehe nyingine nyingi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. See at Kontos; "The name cannot be ascribed to any tradition; its obvious derivation from logchē (λόγχη), spear or lance, shows that it was, like that of Saint Veronica, fashioned to suit the event," noted Elizabeth Jameson, The History of Our Lord as Exemplified in Works of Art 1872:160.
  2. Barber, Richard (2004). The Holy Grail: Imagination and Belief (kwa Kiingereza). Harvard University Press. uk. 118. ISBN 9780674013902. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2019. gospel of nicodemus Hello{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/45450
  4. Fuhrmann, Christopher (11 Aprili 2014). Policing the Roman Empire: Soldiers, Administration, and Public Order (toleo la Reprint). Oxford University Press. uk. 231. ISBN 978-0199360017.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lonjino kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.