Barbato
Mandhari
Barbato (Cerreto Sannita[1], Italia, 602 - Benevento, 19 Februari 683) alikuwa askofu wa Benevento kwa miaka 19.
Kama padri alipinga kwa nguvu zote ushirikina na Upagani, na baada ya kufanywa askofu alipinga katika mitaguso mbalimbali fundisho la kwamba Yesu alikuwa na utashi wa Kimungu tu, si ule wa kibinadamu pia. Inasimuliwa kwamba aliwaongoa Walombardi na mtawala wao kwa Kristo.[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari[3][4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Nicholas Everett, Patron Saints of Early Medieval Italy AD c.350-800 (PIMS/ Durham University Press, 2016), pp.39-59
- (Kifaransa) Jean-Marie Martin, À propos de la Vita de Barbatus, évêque de Bénévent, in Mélanges de l'Ecole française de Rome. Moyen-Age, Temps modernes, tomo 86, 1 (1974), pp. 137–164
- (Kiitalia) Alessandro Pratesi, Barbato, santo, Dizionario Biografico degli Italiani, vol. 6, 1964
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of February 19: Barbatus of Benevento Ilihifadhiwa 21 Novemba 2015 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- San Barbato di Benevento (Kiitalia)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |