Auspisi wa Toul
Mandhari
Auspisi wa Toul (alifariki Toul, leo nchini Ufaransa, 490 hivi) alikuwa askofu wa tano wa mji huo[1] kuanzia mwaka 478 hivi[2], tena mshairi wa Kilatini[3][4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadimishwa tarehe 8 Julai[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/61220
- ↑ A.D. Thiéry, Histoire de la ville de Toul et de ses évêques, suivie d'une notice de la cathédrale, vol. 1, Paris, Roret, 1841, p. 37.
- ↑ Wilhelm Brandes, Des Auspicius von Toul Rhythmische Epistel an Arbogast von Trier, Wolfenbüttel, 1905
- ↑ CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Hymnody and Hymnology
- ↑ Epistola Ad Arbogastem Comitem Trevirorum (Patrología latina, Migne, volume 61)
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Brandes, Wilhelm. The Auspicius of Toul Rhythmic Epistle to Arbogast of Trier. Wolfenbüttel 1905 Digitized (PDF, 1.3 MB)
- Schanz, Martin and Hosius, Carl. History of Roman Literature. Volume 4.2. Munich 1971 (reprinted from 1920), p. 379f.
- Becher, Matthias. Chlodwig I .: The Rise of the Merovingians and the End of the Ancient World. Munich 2011, p. 122.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |