Venansi wa Tours

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Venansi wa Tours (alifariki Tours, Galia, leo nchini Ufaransa, karne ya 5) alikuwa abati wa monasteri ya huko.

Kwanza aliwahi kuoa bado kijana, lakini alipotembelea wamonaki alivutiwa na maisha yao akakubaliwa na mke wake ajiunge nao.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 13 Oktoba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.