Lorenzo Ruiz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yake katika konventi ya parokia ya Mtume Yakobo, Plaridel, Bulacan.
Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha Wafiadini wa Nagasaki, karne ya 16 na ya 17.

Lorenzo Ruiz (Binondo, Manila, Ufilipino 1600 hivi – Nagasaki, Japani 29 Septemba 1637),[1] ni Mfilipino wa kwanza kutangazwa mtakatifu na Kanisa Katoliki.

Mlei huyo alifia dini ya Ukristo kisha kukataa kuhama Japani na kukana imani yake wakati wa dhuluma za watawala wa Edo (leo Tokyo) kutoka ukoo wa Tokugawa katika karne ya 17.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mfiadini mwenye heri tarehe 18 Februari 1981, halafu mtakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Pamoja naye walitangazwa watakatifu na wanaheshimiwa kama wafiadini wa Japani (1633–1637):[2][3][4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorenzo Ruiz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.