Abrahamu wa Arbela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abrahamu wa Arbela (alifariki Arbela, leo Erbil, Iraki, 31 Januari 345) alikuwa askofu wa mji huo kwa mwaka mmoja hivi hadi alipokatwa kichwa katika dhuluma ya mfalme wa Persia Shapur II kwa kukataa kuabudu jua. [1][2][3] [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Januari[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. † ca 345 Abraham van Arbela Archived 1 Juni 2019 at the Wayback Machine. Retrieved on 27 Feb 2018
  2. Abraham, bishop of Arbela - ܐܒܪܗܡ(d. 345), saint Retrieved on 27 Feb 2018
  3. St. Abraham Retrieved on 27 Feb 2018
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/39210
  5. Martyrologium Romanum, 2004

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
  • The Bénédictins of Ramsgate 'Ten Thousand Saints, Hagiographic Dictionary' Brepols, 1991. ISBN|2-503-50058-7}}
  • Kirschbaum, Engelbert (established). Published by Wolfgang Braunfels' Encyclopedia of Christian Iconography. First to eighth volume 'Rome / Freiburg / Basel / Vienna, Herder, 1990. ISBN|3-451-21806-2
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.