Nenda kwa yaliyomo

Pamaki wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Pamaki alivyochorwa, Roma.

Pamaki wa Roma (alifariki Roma, Italia, 409 hivi) alikuwa seneta wa Dola la Roma[1].

Alioa Paulina, binti wa pili wa Paula wa Roma[2].

Alipofiwa mke wake alianza kuishi kama mtawa na kusaidia kwa ukarimu maskini, wagonjwa na wageni[3] pamoja na kujenga basilika lenye jina lake mjini Roma.

Aliandikiwa na Jeromu[4] na Augustino wa Hippo[5] waliomshukuru kwa juhudi zake katika imani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68070
  2. Information about Paula's early life is recorded by Saint Jerome. In his Letter 108, he states that she had led a luxurious life and held a great status. She dressed in silks, and had been carried about the city by her eunuch slaves.
  3. See Jerome, Ep. lxvi and Paulinus of Nola, Ep. xiii.
  4. See Jerome, Epp. xlviii and xlix, lxxxiii–iv.
  5. See Augustine, Ep. lviii.
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.