Vendelini wa Trier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wake (Staatsgalerie Stuttgart).

Vendelini wa Trier (labda Uskoti, 554 hivi - Sankt Wendel, Saarland, Ujerumani, 617) alikuwa mkaapweke katika jimbo la Trier kuanzia mwaka 561 au 565 hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.