Andrea Wang Tianqing
Mandhari
Andrea Wang Tianqing (1891 hivi - Machiazhuang, 22 Julai 1900) alikuwa mtoto wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa pamoja na mama yake Lusia Wang Wangzhi na mdogo wa huyo, Ana Wang[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 22 Julai[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wafiadini wa China
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |