Edward Muungamaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Edward katika kiti cha enzi.

Edward Muungamadini (kwa Kiingereza: Edward the Confessor; takriban 10035 Januari 1066) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia mwaka 1042 hadi kifo chake.

Kama mfalme hakuwa na nguvu ya kutawala lakini maisha yake ya Kikristo yalikuwa mfano mwema kabisa. Alipendwa sana na raia zake kwa upendo aliokuwa nao, alidumisha amani nchini akastawisha ushirika na Kanisa la Roma[1].

Mwaka 1161 alitangazwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2] au 13 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. Martyrologium Romanum
  2. Martyrologium Romanum