Yohane Mtendamiujiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane Mtendamiujiza alikuwa askofu wa Poliboto katika karne ya 9 aliyepinga sana maagizo ya kaisari Leo V dhidi ya heshima kwa picha takatifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 4 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.