Vitali, Valeria na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa kifodini cha Mt. Vitali.

Vitali, Valeria na wenzao Gervasi, Protasi na Ursichini (walifariki Ravenna na Milano, Italia, karne ya 2 hivi) walikuwa Wakristo wa Italia Kaskazini waliouawa wakati na mahali tofauti kwa kutetea bila woga imani yao.

Inasemekana Gervasi na Protasi walikuwa watoto wa Vitali na Valeria, Ursichini alikuwa tabibu ambaye alikatwa kichwa akazikwa na Vitali[1][2][3].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa hasa tarehe 28 Aprili[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.