Paladi wa Auxerre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paladi wa Auxerre (kwa Kilatini: Palladius; karne ya 7 - Auxerre, leo nchini Ufaransa, 10 Aprili 658 hivi) alikuwa abati[1] halafu askofu wa 20 wa mji huo kuanzia mwaka 622 hadi kifo chake[2].

Alishiriki mitaguso mbalimbali na kupigania maadili na nidhamu katika Kanisa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gesta pontificum Autissiodorensium, ed. Louis-Maximilien Duru, p. 341.
  2. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, pp. 432-433 e 437-438.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.