Antonino wa Firenze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake ndogo katika nyumba alimozaliwa.

Antonino wa Firenze, O.P. (Firenze, Italia, 1 Machi 1389 - 2 Mei 1459) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1446. Alifanya uchungaji huo kwa umakini, aking'aa kwa uadilifu, nidhamu na ubora wa mafundisho yake.

Mwanateolojia maarufu wa shirika la Wadominiko, alilojitahidi kulirekebisha, aliandika vitabu mbalimbali na kuchangia sana Mtaguso wa Firenze[1].

Papa Adrian VI alimtangaza mtakatifu tarehe 31 Mei 1526.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

Kitabu chake Confessionale, 1488-1490 hivi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Memorie Domenicane 42 (2012) with proceedings of the conference Antonino Pierozzi. La figura e l’opera di un santo arcivescovo nell’Europa del Quattrocent, ed. Luciano Cinelli and Maria Pia Paoli.
 • Cornelison, Sally (2012). Art and the Relic Cult of St. Antoninus in Renaissance Florence. Farnham: Ashgate. ISBN 978-0-754-66714-8. 
 • Jarrett, Bede (1914). S. Antonino and Mediaeval Economics. London: B. Herder. 
 • Krass, Urte (2015). "A Case of Corporate Identity: The Multiplied Face of Saint Antonino of Florence". Representations 131 (1): 1–21. doi:10.1525/rep.2015.131.1.1
   .
 • Peterson, David S., Archbishop Antoninus: Florence and the Church in the Early Fifteenth Century, PhD thesis, Cornell University, 1985
 • Polizzotto, Lorenzo (1992). "The Making of a Saint: The Canonization of St. Antonino, 1516–1523". Journal of Medieval and Renaissance Studies 22 (3): 353–381. ISSN 0734-6018
   .

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.