Nenda kwa yaliyomo

Danieli wa Mnarani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa ukutani wa Mt. Danieli.

Danieli wa Mnarani (Maratha, leo nchini Uturuki, 409 hivi - Adrianopoli, 493) alikuwa mmonaki padri ambaye, baada ya kushinda matatizo mengi, alipata umaarufu kwa kufuata mfano wa Simeoni wa Mnarani, akiishi miaka 33 na miezi 3 hadi kifo chake juu ya mnara karibu na Konstantinopoli, bila kujali ukali wa baridi, wa joto au wa upepo [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.