Basila wa Roma
Mandhari
Basila wa Roma (alifariki Roma, 304 hivi) alikuwa msichana wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya makaisari Dioklesyano na Masimiano[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira na mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |