Nenda kwa yaliyomo

Hilari wa Carcassonne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hilari wa Carcassonne (aliishi karne ya 6) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wakati Wavisigoti walieneza Uario katika eneo hilo waliloliteka[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.