Prokopi wa Sazava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Prokopi na Mfalme mdogo Oldrich.

Prokopi wa Sazava (Chotoun, Bohemia, takriban mwaka 970Sazava, Bohemia, 25 Machi 1053) alikuwa Mkristo ambaye, kwa kuacha mke na mtoto, akawa mmonaki Mbenedikto, mkaapweke na hatimaye abati wa monasteri aliyoianzisha Sazava (Ucheki) akifuata madhehebu ya Kigiriki na kutumia lugha ya Kislavoni.

Tarehe 2 Juni 1204 alitangazwa na Papa Inosenti III kuwa mtakatifu[1].

Sikukuu yake ni tarehe 25 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.