Petro wa Arbues
Mandhari

Petro wa Arbues, C.R.S.A. (Epila, Aragon, Hispania, 1441 hivi - Zaragoza, 17 Septemba 1485[1]) alikuwa padri kanoni[2] aliyeuawa kanisani mbele ya altare na watu aliokuwa anawachunguza kutokana na kazi aliyoagizwa ya kuzuia uzushi na ushirikina [3][4].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Aleksanda VII tarehe 20 Aprili 1664, halafu mtakatifu mfiadini na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867[5].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Septemba[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Arbués, Pedro de. Gran Enciclopedia Aragonesa. Retrieved on 20 September 2017.
- ↑ Saint Peter Arbues. Saints SQPN (19 September 2017). Retrieved on 20 September 2017.
- ↑ Anthony Allaria (1911). St. Peter of Arbues. The Catholic Encyclopedia: Vol. 11 New York: Robert Appleton Company. Retrieved on 2 May 2015.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91755
- ↑ Garry Wills (23 Septemba 2001). "The Popes Against the Jews: Before the Holocaust"". New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-30. Iliwekwa mnamo 20 Septemba 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Simon Whitechapel, Flesh Inferno: Atrocities of Torquemada and the Spanish Inquisition (Creation Books, 2003). ISBN|1-84068-105-5
This article incorporates text from a publication now in the public domain: A. Allaria (1913). . Katika Herbermann, Charles (mhr.). Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
{{cite encyclopedia}}
: Cite has empty unknown parameters:|1=
,|month=
, na|coauthors=
(help); Invalid|ref=harv
(help)- Pedro Arbues in the public domain Jewish Encyclopedia, Funk and Wagnalls, 1901 - 1906.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Jamii:
- CS1 maint: date auto-translated
- CS1 errors: empty unknown parameters
- CS1 errors: invalid parameter value
- Articles incorporating text from the 1913 Catholic Encyclopedia with Wikisource reference
- Mbegu za Wakristo
- Waliozaliwa 1441
- Waliofariki 1485
- Mapadri
- Wakanoni
- Waaugustino
- Wafiadini Wakristo
- Watakatifu wa Hispania